Maharusi Mr & Mrs Sunday Demonte wakiwa katika pose nyumbani kwa Salma Mgido mapema leo kwaajili ya chakula cha mchana
Aunty akiwa amepakata mtoto Seif wa da Katija Mashallah
 Kitu cha ndafu na madiko diko kibao
 Rahma Aunty  Ezekiel na Mumewe Sunday wakikata ndafu huku waigizaji wenzake Aunty  akiwemo, Ray, JB na Cloud walioenda harusini wakishuhudia tukio
 Ray akishuhudia kwa ukaribu tukio hilo

Bi Salma Mgido (mwenye pink) akiweka mambo sawa
 Mr & Mrs Demonte wakipata msosi
 Wageni waalikwa akiwemo mwenyekiti wa Jumuyia ya watanzania Dubai (mwenye kanzu ya blue) katika shughuli hiyo
 Cloud katika picha ya pamoja na Janja

Cloud na Janja wakibadilishana mawazo
 Ray katika pose na shabiki wake
 JB katika pose 
 Katija, mumewe aka muarabu na mkewe na Ray katika pose
 Mumewe Katija, wanae na Sunita pia walikuwepo
Bi Salma mama wa shughuli......
 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !