Home
                          
                          »
                          
                          » 
                          UJANA BALAA! HAYA SASA LEO TUNAKULETEA FAIDA NA HASARA ZA KUJICHUA/CHEZEA KWA MWANAMKE
 
UJANA BALAA! HAYA SASA LEO TUNAKULETEA FAIDA NA HASARA ZA KUJICHUA/CHEZEA KWA MWANAMKE
  
 Faida za kujichua/chezea:
1)Kuujua mwili wako na kujiamini zaidi linapokuja swala la kungonoka(fanya mapenzi)
2)Kuongezeka kwa hamu ya kufanya mapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.
3)Kujua “vipele vyako viliko”.
4)Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.
5)Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine.
Madhara ya kujichua/chezea:
1)Sijawahi kushuhudia wala kusikia tatizo lolote kutokana na kujichaua kiasili.
2)Kujichua  kwa kutumia sanamu a.k.a Dildos ni kusamburuka kwa nyama za nyeti  zako(inategemea na aina ya sanamu), kupoteza hisia za uume halisi  kutokana na kuzoea “dubwana” hizo, kifo kutokana na “shock” ikiwa  unatumia ya umeme, vilevile saratani ikiwa unatumia vilainishio ili  kurahisisha “dubwana a.k.a toy a.k.a Dildo” kuingia. 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !