Mbele ya steji ilikuwa imepambwa na cover za magazeti ya Baabkubwa yaliyopita na kusomwa na wengi. 
 Baghdady kwa steji akifanya vitu vyake
Huku burudani ikiendelea wengine walikuwa wakijisomea gazeti la Baabkubwa kama kawaida kabisa 
 Sam wa Ukweli alikuwa anatambulisha wimbo wake mpya pamoja na video yake mpya
Nadiriki  kusema Club Maisha ilikuwa imejaa watu na joto lake lilikuwa si mchezo,  kweli watu wanapenda uzalendo wa club yao, hata kuwe vipi lazima mtu  asimame mwanzo mwisho atizame burudani 
 Kila  siku iendayo kwa mungu napotizama show za DYNA napata picha nyingine  mpya machoni mwangu kwa jinsi atakavyokuwa msanii wa kike anayetoa  burudani kali kwa steji kwa maana anajipanga sana, BIG UP mdogo wangu
 Baba Jonii akiwa kwa steji akimtambulisha Gadna G Habashi kwa steji ili aje amtambulishe mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba
 Captain Gadna G Habashi kwa steji akimtambulisha mama mzazi wa Kanumba
 Na hii ni picha kubwa aliyopewa mama yenye sura ya Kanumba kama kumbukumbu yao iliyotolewa na gazeti hilo la BaabKubwa
 DYNA akimpa msanii wa kike mkongwe Lady Jay Dee tuzo ya msanii bora wa kike
 Yusuph  Mlela alipanda jukwaani kuja kutoa tuzo ya mwigizaji bora wa kike  katika tasnia hii ya filamu zetu za hapa bongo, na aliyekuja kuchukua  tuzo hiyo ni Monalisa
 Monalisa akiwashukuru BaabKubwa na mashabiki wake kwa ujumla
 Madee  alikuja kutoa tuzo ya mwimbaji bora wa kiume ambaye alikuwa ni Prof Jay  na niliitwa mbele kuchukuwa tuzo hiyo kwa niaba yake kwamaana alikuwa  hayupo Prof Jay
 Producer  Lamar alikuja kwa steji kutoa tuzo ya Producer bora wa mziki hapa bongo  na aliyekuja kuchukuwa tuzo hiyo ni GOD FATHER WA BONGO FLEVA P.Funk  Majani
 Bob Junior huwa haniangushagi katika show zake,
 Big  Up sana Rich Mavoko unafanya poa sana katika show zako ila punguza  mwili kidogo kwa maana nilikuwa nakutizama nikaona kabisa umeongezeka so  hapo mbele kama panataka kutuna hivi.
Mr Blue kwa steji akimuita mkongwe mwingine kwenye bongo fleva Q.Chief waje waimbe wote 
 Q.Chief
 BASI SAWA....Mambo ya binadamu hayooo
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !