Bi Matola akiwa haamini  kilichotokea.
WANYWAJI katika baa moja iliyoko Tazara Magorofani, Manispaa ya  Temeke, walinusurika kifo, baada ya mgambo wa manispaa hiyo kuivamia na  kuanza kuibomoa mnamo saa 8.30 usiku wa kuamkia leo.Wavunjaji hao walifika eneo hilo bila hata kuongozana na mjumbe wala mwenyekiti wa serikali ya mtaa husika na hawakuwa na barua yoyote ya kuelekeza uvunjaji wa baa hiyo ambamo kulikuwa na watu waliokuwa wakipata vinywaji.
 
 




 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !