Hakika  huu ndo mwisho wa  dunia........Huu  ni  uchafu  ambao hufanyika  katika  Garden moja  ijulikano kwa  jina  la  Murilo.......
Ni kitovu cha uchafu, laana, maasi na dhambi zooooooote unazozijua hapa duniani........
Hiyo ni  kambi ya Vigogo,wanasiasa  na  wasanii  mbali mbali  toka  Tanzania, Kenya na Uganda.......
Kahaba  ni kahaba tu......Malaya  ni  malaya tu.  Hakika  wanadamu tumeasi.Iko haja  ya  kumrudia  mwenyezi mungu........
 Kitovu  cha uchafu huo kipo Kenya.
 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
