Idadi  ya maafisa wa polisi waliofariki katika shambulizi la wezi wa mifugo  huko baragoi imefikia arubaini na mbili. Kamishna wa polisi matthewa  iteere aliandamana na maafisa wengine wa usalama katika eneo hilo  kuwasindikiza maafisa hao waliofariki katika safari yao ya mwisho  kurejea nyumbani hapa jiji ni nairobi. Miili yao imelazwa katika chumba  cha maiti cha kenyatta. Aidha iteere ameahidi uchunguzi na hatua mwafaka  kuchukuliwa dhidi ya wezi wa mifugo huo samburu kaskazini.       
                            Home
                          
                          »
                          
                          » 
                          Idadi ya polisi waliouawa Samburu yafika 42 [Video]
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !