Hii  Ndio sehemu watakayokaa wakuu na Viongozi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma  kwaajili ya kuwatunuku wahitimu muda mfupi ujao katika viwanja vya  chimwaga vilivyopo chuoni hapo
Baadhi  ya Wahitimu wa Kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na Lugha Cha Chuo  Kikuu Cha Dodoma wakiwa katika harakati za kutafuta picha za ukumbusho  na rafiki zao wakati wa sherehe za mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha  Dodoma yanayotajiwa kuanza saa saba Mchana wa leo katika viwanja vya  Chimwaga Vilivyopo Chuoni Hapo
Nikiwa  na Classmate wangu Wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha  Dodoma Katika Mahafali ya Tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)  yanayofanyika katika Viwanja vya Chimwaga vilivyopo Chuoni Hapo
Kutoka  Kushoto Ni Josephat Lukaza Mmiliki wa Lukaza Blog akifuatiwa na  Emmanuel Mwakibinga na Patrick Kapachino Kapongwa katika Picha ya Pamoja  Kabla ya Sherehe za mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Kuanza  katika Viwanja Vya Chimwaga leo
Wahitimu  wakiwa katika shamrashamra za huku na kule katika Kuchuku taswira za  ukumbusho katika mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yanayofanyika  katika viwanja vya chimwaga vilivyopo Chuoni hapo
Wahitimu  wakiwa Katika Harakati za hapa na pale katika mahafali ya tatu ya chuo  kikuu cha Dodoma yanayofanyika katika Viwanja Vya Chiwaga Vilivyopo  Chuoni hapo leo. Tutaendelea Kuwarushia Matukio Zaidi ya Mahafali ya  Tatu Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma. 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !