MSANII asiyeishiwa na matukio, Lulu Mathias ‘Aunt Lulu’ amefunguka kwamba kuharibika kwa mwili wake hasa kwenye makalio kumetokana na kuvaa nguo za ndani aina ya ‘bikini’ ambazo zimechimba mistari.
 Lulu Mathias ‘Aunt Lulu’.
Akizungumzia tabia ya mastaa wengi kutokuvaa ‘makufuli’ wanapokuwa  kwenye mitoko, Aunty Lulu alisema kuwa, hiyo inatokana na jinsi  zinavyowaathiri sehemu zao ‘muhimu’ na kwamba yeye ni mmoja wa  waathirika.
“Kwa kweli hizi nguo za ndani hasa bikini zinatuharibu sana hasa sisi tuliojaaliwa kuwa na maumbile…
 
 


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !