Dimondo na Ommy vibonyezo
Bob jr
Richie Mavoko
NA HIKI NDICHO KILICHOANDIKWA KWENYE WEBSITE YA SINTAH.COM 
Kiroho safii kabisa tuambiane  ukwelli, nimekuwa nikifuatilia live concert kuna moja ilikuwa  imeandaliwa Maisha na nyingine Diamond, 
wasanii wengi hapa Dar siku hizi  wamejikita kukata mauno kwa stage na si kuimba jamani jamani utamkuta  mtu anakata yake mauno huku nyimbo ikiendelea kuimba na hana habariii. 
heee umekuwa Aisha madinda ama Lilian Internet kama sikosei super Nyamwela please please muwe mnafuata nyimbo basi. 
tunajua mnatudanganya sana kwa  kutuwekea CD sio live basi endeleeni kufuata mashairi na si kukatika ama  katika pale panapostahili na si mwanzo mwisho sasa umewaweka dancers  wanini yarabiii,
mtakuja kupata aibu pale mtapokuwa mnaenda ku perform nchi nyingine na watu wa mataifa tofauti please anzeni kulifanyia kazi.
hao ni baadhi ya wasanii niliowaona wana hio kasoro kuna wengi ila hao kwa macho yangu nimeona kama kuna wengine wataje.
from one n only 
msema ukweli daima na haongopi
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !