| Hapa Diamond akiwa amefika eneo la tukio....akiwa na Mose Iyobo pamoja na Romy J kwaajili ya kurecord kipindi cha The Mboni Show | 
| Tukisalimiana na George Tyson Director wa Kipindi cha The Mboni Show | 
| Uwa najiona pasipo kumuomba Mwenyzi Mungu kabla ya kufanya chochote... Najiona siwezi kufanya vizuri wala kutimiza lengo lango. | 
| Hapa Mboni Masimba akipitia baadhi ya mambo kabla ya kuanza kipindi... | 
| Tukiwa kwenye kipindi... | 
| Picha ya Pamoja nikiwa na Mboni & Rj | 
| Baada ya show kulizika Hali ilikuwa hivi.... | 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !