
Watu wa nne wamekamatwa na jeshi la police wakiwa na Baadhi ya vitu alivyokuwa navyo marehemu Sharo Milionea kama vile Jeans,T-Shert,Viatu,Simu ya mkononi,Pete,Cheni,Tairi moja la gari,pamoja na Battery la gari alilopatanalo ajali marehemu Sharo Milionea....Inasemekana  watu hao waliposhindwa kumvua Pete vidoleni walimkata vidole  vyake....Watuhumiwa hao walikuwa sita wamekamatwa wanne bado wawili  waliokimbia na pesa alizokuwa nazo Maremu Sharo Milionea....
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !