
 Mkurugenzi wa Utafiti wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akiwaelekeza jambo Washiriki wa shindano la Miss East Afrika 2012.

 Mmoja wa wahariri wa Clouds TV, Anatoli Kabez akisalimia na Washiriki wa shindano la Miss East Afrika 2012.

 Mfanyakazi wa Prime Time  Promotions Ltd, Godliver Nicholaus akiwapa jarida la Kitangoma  linalochapishwa na kampuni hiyo, Washiriki wa shindano la Miss East  Afrika 2012.

Mkuu  wa Vipindi wa Clouds FM, Sebastian Maganga akifafanua jambo  kwa  Washiriki wa shindano la Miss East Afrika 2012.walipotembelea  studio za Clouds FM.

  Mkurugenzi wa Utafiti  wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akiwaelekeza jambo Washiriki wa  shindano la Miss East Afrika 2012 walipotembelea ndani ya studio za  Clouds TV.

 Washiriki wa shindano la  Miss East Afrika 2012 wakiwa katika picha ya pamoja mapema leo mchana  walipotembelea kampuni ya Clouds Media Group, Mikocheni jijini Dar.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !