Home
                          
                          »
                          
                          » 
                          MASKINI SHILOLE CHALII; ANGALIA PICHA ZIKUMUONYESHA MSANII SHILOLE AKIMWAGA CHOZI
 
MASKINI SHILOLE CHALII; ANGALIA PICHA ZIKUMUONYESHA MSANII SHILOLE AKIMWAGA CHOZI
  Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiangua kilio baada ya kuwakumbuka wasanii wenzake Kanumba na Sharo. Tukio hilo lilitokea kwenye sherehe ya kutimiza miaka 13 ya Clouds FM, iliyofanyikia Club Bilicanas, Posta jijini Dar es Salaa.
 Kilio cha Shilole kilisababishwa na Mtangazaji wa Clouds FM, Adam  Mchomvu baada ya kutoa fursa ya kuwakumbuka wasanii maarufu  waliotangulia mbele ya haki.  ...Shilole akiwa na simanzi baada ya kuwakumbuka wasanii hao. Akiwa jukwaani Mchomvu aliwaomba mashabiki waliojazana ukumbini humo  kunyanyua mikono juu na waliokuwa na simu aliwataka wazinyanyue juu huku  wakiwa wameziwasha ili zitoe mwanga.
 Mtangazaji huyo alianza kuyataja majina ya mastaa waliofariki mmoja baada ya mwingine, huku watu kibao wakionesha simanzi zao. 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !