ANGALIA PICHA ZA VITU ALIVYOIBIWA MAREHEMU SHARO MILIONEA IKIWEMO,SIMU,BATTERY PAMOJA NA NGUO! - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » ANGALIA PICHA ZA VITU ALIVYOIBIWA MAREHEMU SHARO MILIONEA IKIWEMO,SIMU,BATTERY PAMOJA NA NGUO!

ANGALIA PICHA ZA VITU ALIVYOIBIWA MAREHEMU SHARO MILIONEA IKIWEMO,SIMU,BATTERY PAMOJA NA NGUO!


Watu wa nne wamekamatwa na jeshi la police wakiwa na Baadhi ya vitu alivyokuwa navyo marehemu
Sharo Milionea kama vile Jeans,T-Shert,Viatu,Simu ya mkononi,Pete,Cheni,Tairi moja la gari,pamoja na Battery la gari alilopatanalo ajali marehemu Sharo Milionea....Inasemekana watu hao waliposhindwa kumvua Pete vidoleni walimkata vidole vyake....Watuhumiwa hao walikuwa sita wamekamatwa wanne bado wawili waliokimbia na pesa alizokuwa nazo Maremu Sharo Milionea...
Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template