Home
                          
                          »
                          
                          » 
                          ANGALIA PICHA;BABA ANAETUHUMIWA KUZINI NA KUZAA NA MWANAE WA KUMZAA ATINGA MAHAKAMANI BAADA YA KESI KUAIRISHWA AZOMEWA NA KINA MAMA NA KUKIMBIA KAMERA ZA WANDISHI WA HABARI 
 
ANGALIA PICHA;BABA ANAETUHUMIWA KUZINI NA KUZAA NA MWANAE WA KUMZAA ATINGA MAHAKAMANI BAADA YA KESI KUAIRISHWA AZOMEWA NA KINA MAMA NA KUKIMBIA KAMERA ZA WANDISHI WA HABARI 
|  | 
|  Mkazi  wa Mtaa wa Mbete,Kata ya Isanga Jijini Mbeya Bwana Yussuf  Hamad(39),anatuhumiwa kumpa mimba binti yake wa kumzaa(16) jina lake  limehifadhiwa. akiingia mahakamani leo mbele yake ni mke wake na mtoto  wake aliyezaanae ambao sura zao tumefunika | 
|  | 
| Bwana  Yussuf Hamad anaetuhumiwa kuzaa na bintie akitaka kumpokonya kamera   mwandishi wa gazeti la majira Rashid Mkwinda ili asimpige picha | 
|  | 
| Jamaa  kuona amezidiwa akaamua kujifunika na shati lake huku akitoa maneno  makali kuwa nyie waandishi mmekosa cha kuandika mmeona hii ndiyo habari  hakuna habari nyingine? alihoji mtuhumiwa huyo | 
|  | 
| Huyoooo anatoka nje ya mahakama | 
|  | 
| Sasa anavaa kofia yake ili watu wasimtambue huku akisema nifuateni niwaonyeshe kazi | 
|  | 
| Njooni sasa huku kashika jiwe | 
|  | 
| Kuona anazidi kufuatwa akaamua kuondoka mahali hapo huku  akiwa na jiwe lake mkononi | 
|  | 
| Akina mama wanamsindikiza kwa kumzomea mtuhumiwa huyo.Picha Na Mbeya Yetu Blog 
 
  Mkazi wa Mtaa wa Mbete,Kata ya Isanga Jijini Mbeya Bwana Yussuf  Hamad(39),anatuhumiwa kumpa mimba binti yake wa kumzaa(15) jina lake  limehifadhiwa. Hayo yamethibitishwa na Mama mzazi wa binti huyo Bi, Regina Simon(35)  baada ya kupata taarifa Mei 11 mwaka huu kuwa binti yake ana ujauzito wa  miezi minne,na kuamua kutoa taarifa kwa Balozi  wa mtaa huo Bwana  Steven Ovaova ambaye naye alitoa taarifa kwa Mwenyekiti wa Kitongoji  Bwana Angelo Sanga. Viongozi hao wa mtaa walimuita  mtuhumiwa na ili kupata ukweli wa tukio  hilo,lakini mtuhumiwa alikanusha ingawa binti yake alithibitisha  kutendewa ukatili huo na kwamba alikuwa akitishiwa kwa mapanga kila  alipokuwa akifanya naye tendo la ndoa. Baada ya uongozi kupata maelezo kutoka kwa binti huyo na mzazi kukataa  waliamua kuipeleka kesi hiyo Polisi,ambapo walitoa PF3 iliyomwezesha  binti huyo kupelekwa kwa daktari ambaye alithibitisha kuwa binti huyo ana ujauzito.  Binti huyo amejifungua mtoto wa kike ambae sasa anamiezi mitatu mtoto  huyo kaletwa leo mahakamani kama ushahidi kesi hiyo imeairishwa mapaka  tarehe 12/12 mwaka huu, | 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !