MGANGA  WA KIENYEJI HUYU HAPA PICHANI, RAJABU ZUBERI(30),MKAZI WA Kerege,Muheza  Tanga, akiwa chini ya ulinzi wa wanausalama leo saa mbili asubuhi  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, baada kifaa maalum  cha upekezi kumnasa mganga huyo akiwa na vifaa hivyo vya uganga ambavyo  alikuwa amekuja navyo mahakamani hapo kwaajili ya kufanyia mambo ya  kishirikina katika kesi moja inayomkabili 
mmoja wa washtakiwa mahakamani  hapo. Hongereni sana wanausalama kwa kazi nzuri ya kumnasa mtu huyo  kwani mmesaidia kuvuruga azma yake.Picha kwa hisani ya Happy Katabazi
 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !