| Nikiongea mawili,matatu kwa washiriki wa Maisha Plus pamoja na watu wote waliyoudhulia | 
| Nikipokea zawadi kutoka kwa Babu wa Kijiji cha Maisha Plus.... | 
| Nikiwa pamoja na Top 5 ya Maisha Plus | 
| Top 5 wakiwa kizimbani... | 
| Baadhi ya viongozi waliyoudhulia Final hizo akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo | 
| Huyu ndiye Mshindi wa Maisha Plus akiwa na Babu baada ya kutangazwa kuwa mshindi Washiriki,Watu mbalimbali wakimpongeza Mshindi wa Maisha Plus.... | 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !