PICHA;BEYONCE ARAMBA MABILION YA FEDHA KWA KUWATANGAZIA KAMPUNI YA PEPSI! - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » PICHA;BEYONCE ARAMBA MABILION YA FEDHA KWA KUWATANGAZIA KAMPUNI YA PEPSI!

PICHA;BEYONCE ARAMBA MABILION YA FEDHA KWA KUWATANGAZIA KAMPUNI YA PEPSI!


Aliyekua member wa Destiny's Child, Beyonce Knowles amepata bonge la shavu la ku-sign deal nono na Kampuni ya Pepsi. Deal hilo limezidi kumfanya awe Celeb aliyeingiza mkwanja mrefu zaidi mwaka huu 2012.

Deal hilo limezua kizaazaa huku kila mtu akiamini mkwanja aliolipwa Beyonce kutokea kwenye tangazo hilo ni mkubwa kupitiliza.

Inaaminika Mwanadada huyo ambaye ni mke wa Rapper Jay-Z amelipwa kiasi cha $50 million sawa na zaidi ya Billioni 75 za kitanzania kwa ku-appear tuu kwenye hilo tangazo.
Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template