Home
                          
                          »
                          
                          » 
                          RAY C VS RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE;RAISI KIKWETE AMSAIDI RAY C; CHECK KWENYE PICHA!
 
RAY C VS RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE;RAISI KIKWETE AMSAIDI RAY C; CHECK KWENYE PICHA!
 
Mh.Raisi  Kikwete akiwa na mwanamuziki Rehema Chalamila aka Ray C leo Ikulu  Jijini Dar es Salaam wakati mwanamuziki huyo alipoenda kumtembelea Raisi  na kumpa shukrani kwa kumsaidia kwenye matibabu ya juu ya ugonjwa  uliokuwa ukimsumbua. Aidha Ray C alimueleza Raisi kwamba afya yake  imeimarika na kwamba muda mfupi ujao atarudi kuendelea na kazi yake ya  muziki. Kwa upande wa mama yake Ray C amemshukuru Kikwete kwa kuokoa  maisha ya mwanae kwa kugharamia matibabu yote ya mwanae. 
Raisi  Jakaya Kikwete akiwa pamoja na Ray C, Mama yake mzazi Ray C - Margreth  Mtweve na aliyevaa nguo za pinki upande wa kulia ni dada yake Ray C -  Sarah Mtweve.
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !