---
WASANII wa  nyumba ya vipaji, Tanzania House of  Tallent ‘THT’ usiku wa kuamkia leo  waliangusha bonge la pati ndani ya Ukumbi wa Dar live uliopo Mabagala  jijini Dar kusherehekea miaka 7 ya kuanzishwa kundi hilo la kukuza  vipaji. Katika pati hiyo wasanii mbalimbali wa muziki walitoa burudani  hasa wasanii wenyewe wa THT. Pichani juu ni baadhi ya matukio yaliyojili  ukumbini hapo.
(PICHA : RICHARD BUKOS NA MUSA MATEJA / GPL ) & JESTINA GEORGE BLOG
(PICHA : RICHARD BUKOS NA MUSA MATEJA / GPL ) & JESTINA GEORGE BLOG
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !