 Msanii wa Bongo movie maarufu kama Sajuki ,baada ya kufanya matamasha mbalimbali huko mikoani ameonekana hali yake si nzuri ki afya.Kwa mujibu wa Dinno ambaye  ni rafiki yake wa karibu alisema kwamba hali ya Sajuki ilibadilika  ghafla kipindi wakiendelea na ziara yao huko mikoani lakini kwa sasa  wako katika mipango ya kumpeleka nchini Indian kwa ajili ya  matibabu.
Msanii wa Bongo movie maarufu kama Sajuki ,baada ya kufanya matamasha mbalimbali huko mikoani ameonekana hali yake si nzuri ki afya.Kwa mujibu wa Dinno ambaye  ni rafiki yake wa karibu alisema kwamba hali ya Sajuki ilibadilika  ghafla kipindi wakiendelea na ziara yao huko mikoani lakini kwa sasa  wako katika mipango ya kumpeleka nchini Indian kwa ajili ya  matibabu.\credit kwa bongoclantz 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !