
Marehemu Seleman Shamte Mbonde aka Solomon Mark Kamanzi 
---
Familia  ya Shamte Mbonde insikitika kutangaza kifo cha mwanao mpendwa Seleman  Shamte Mbonde almaarufu Mark Solomon Kamanzi kilicho tokea nchini  Portugal 1 Desemba 2012.
Taratibu  za kusafirisha mwili wa marehemu kurudi nyumbani kwake UK zinafanyika.  Taratibu za mazishi zitafanyika mara mwili utakapo wasili nchini UK.
Msiba upo nyumbani kwa marehemu
110 Kursaal Way,
Flat 30 Mirror Steps
SS1 2YX
Ili kufanikisha safari yake ya mwisho wa maisha yake tunaomba msaada wako kupitia Account zifuatayo:
NAME: O Mtambo
ACCOUNT NUMBER: 03625435
SORT CODE: 20-79-73
BANK: Barclays
AU
NAME: Mr. Ahmed K Mohamed
ACCOUNT NUMBER: 46888468
SORT CODE: 30-79-84
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Ahmed: 07536590033
Othman: 07960768910
ASANTENI NA MUNGU AWABARIKI
Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !