Home
                          
                          »
                          
                          » 
                          TI AFUNGUKA;T.I ASEMA WASANII WALIOMFARIJI AKIWA JELA NI WATANO TU
 
TI AFUNGUKA;T.I ASEMA WASANII WALIOMFARIJI AKIWA JELA NI WATANO TU
|  | 
| T.I | 
Rapper T.I ameweka wazi wakati mgumu aliopitia wakati yupo jela na kusema wasanii kama Will Smith, Eminem, Puff Daddy, Busta Rhymes, Russell  Simmons  ndio walikuwa mstariwa mbele katika kumfariji kipindi  alipokuwa akitumikia kifungo chake Jela.T.I aliendelea kusema Wasanii  hao walikuja kunitembelea na kupiga simu mara kwa mara kuongea na mimi  ,Kusema ukweli sikutegemea mtu mkubwa kama Will Smith atakuwa karibu na  mimi wakati huu. Rapper T.I alihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela mwaka 2010 baada ya kupatikana na hatia ya  
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !