Leo asubuhi kumetokea hali ya  kutokuelewana kati ya kocha Roberto Mancini na mchezaji toto tundu Mario  Balotelli kiasi cha kufikia kushikana mashati na kutaka kupigana kama  isingekuwa kuamuriwa na wachezaji wengine. Chanzo cha ugomvi wa wawili  hao kinasemekana ni rafu ya Balotelli aliyomchezea mchezaji Scot  Sinclair katika mazoezi hayo ya kujiandaa na mechi ya FA Cup dhidi ya  Watford.
                            Home
                          
                          »
                          
                          » 
                          ANGALIA PICHA;BREAKING NEWS: MARIO BALOTELLI NA MANCINI WASHIKANA MASHATI MAZOEZINI WATAKA KUZIPIGA 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !