Home
                          
                          »
                          
                          » 
                          ANGALIA PICHA;MBUNGE WA KENYA AINGIA BUNGENI NA KIDUKU
 
ANGALIA PICHA;MBUNGE WA KENYA AINGIA BUNGENI NA KIDUKU
 
MBUNGE  Mike Sonko, Mbunge wa Makadara nchini Kenya,  mwenye vioja llukuki ndani na nje ya bunge, baada ya kuingia huku  akiwa amevaa hereni maskioni,Juzi alionekana na kioja kingine baada  ya kuingia bungeni akiwa ameonyoa nywele mtindo wa  KIDUKU na kukiandika "PEACE" katikati 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !