Rais  Jakaya Kikwete akichota kuchota mdogo kwa ajili kuweka katika kabuli  la Sadik Juma Kilowoko (SAJUKI) wakati wa mazishi yaliyofanyika katika  makaburi ya Kisuti jijini Dar es Salaam mchana wa leo.
 Baba mzazi wa marehemu Sajuki,mzee Kilowoko akiweka udongo kwenye kaburi la mwanaye.
Baba mzazi wa marehemu Sajuki,mzee Kilowoko akiweka udongo kwenye kaburi la mwanaye. Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa  wamebeba jeneza lenye mwili wa Sadik Juma Kilowoko (SAJUKI) mara baada  ya kuwasili kaktika makaburi ya Kisutu.
 Mwili wa Marehemu Sajuki ukiwekwa kaburini mara baada ya kuwasiri katika nyumba yake ya milele.
Mwili wa Marehemu Sajuki ukiwekwa kaburini mara baada ya kuwasiri katika nyumba yake ya milele.
 Mwili wa marehemu SAJUKI ukiwa tayari umeingizwa ndani ya kaburi kwa ajili ya mazishi katika makaburi hayo ya Kisutu.
Mwili wa marehemu SAJUKI ukiwa tayari umeingizwa ndani ya kaburi kwa ajili ya mazishi katika makaburi hayo ya Kisutu.   
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baba mzazi wa marehemu Sajuki   wakati wa mazishi ya msanii huyo  leo katika makaburi ya Kisutu jijini  Dar es salaam.
PICHA KWA HISANI YA IKULU
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !