Diamond Amekanusha Uvumi kuwa anamahusiano ya Kimapenzi na  Jaqueline Wolper Nakusema Kuwa Picha zilizo onyweshwa kwenye magazeti  ni za video ya Keisha 'Nimechoka' aliyo Shirikishwa Diamond.
Plantnumz amesema video shoot ya wimbo huu ilianza Miezi miwili iliyopita na kuja kukamilika wiki Mbili zilizo pita na ndio scene ya video hio inamuonyesha akiwa karibu na Wolper.
Pia  Diamond amesema Msichana yoyote atakaye sema ni Girl Friend wake kwa  sasa Ni Muongo kwani yeye yupo single kwa sasa na hana mpango wa   kutangaza Mpenzi wake atakaye mpata. 
Hivi karibuni Diamond Alikaririwa na  sammisago akisema  `Simba akiwa Karibu na Swala, Watu wanadhani  Anamla, Ila Kuna Muda Simba  Anashiba'
 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !