picha haiendani na tukio
Nilikua mwajiriwa katika kampuni moja maarufu jijini  dare s salaam , katika kuajiriwa kwangu huko nikawa msaidizi maalumu wa  bosi wa kampuni ile , basi siku moja moja nilikuwa naenda kujirusha na  bosi wangu .
Ukizingatia kwamba sikuwa na mume wala mchumba na  kwa kweli huyu bosi ndio alikuwa mtu wa kwanza kufanya nae tendo la ndoa  , hivyo nilifurahia mhemko wake na jinsi alivyokuwa ananipenda na  kunijali kila kitu nilipata na zaidi .
Alifanya yote haya bila kunificha kwamba ana mke na  watoto nyumbani kwake kwahiyo wakati mwingine chochote kinaweza kutokea  nijiandae kwa shuguli hiyo pevu kama mke wake akishitukia dili hilo .
Tulikuwa na uhusiano na huyu bosi kwa miezi 4 hivi  mpaka siku moja katika tembea tembea mitaani nikakutana na kijana mmoja  mtanashati akanieleza kwamba ananipenda na kunizimia sana yaani  ameshanifia
Huyu kijana alihangaika kwa mwezi mzima mpaka siku  nikaja kumkubalia akawa ndio mpenzii wangu halali sasa , nilimwamini  sana na yeeye aliniamini sana , miezi 3 tokea kujuana na huyu kijana  aliniambia kuhusu kufanya nae tendo la ndoa .
Nilifikiria sana wakati mwingine nilitaka kulia  jinsi alivyokuwa ananishika na kuniomba tendo la ndoa akiwa chumbani  kwangu , alijaribu kunishika sehemu kadhaa akanivua nguo nami nilimtolea  nje nilimkatalia .
Basi siku moja nikamwomba tukaangalie afya zetu ,  kijana wa watu alikasirika sana wiki nzima hakufika nyumbani kwangu wala  kunipigia simu , kumbe alitaka tufanye tendo la ndoa bila kinga ? sasa  ningejuaje kuhusu afya yake ? au ananiamini nini mimi ?
Maisha yaliendelea na mambo mengine yaliendelea tu  wiki ya 3 alinipigia simu akaniomba msamaha turudiane na alikubali  kwenda na mimi kupata vipimo vya afya zetu kujua kwanza kabla hatujaanza  mambo mengine yoyote yale .
Basi ndio hivyo majibu yaliyoka mazuri , ndio  mapenzi yetu alikuwa zaidi na penzi nilimpa bila hiyana wala aibu yoyote  , yeye mwenyewe alifurahia mambo yangu na kwanza alikuwa anatoroka  nyumbani kwao kuja kulala kwangu wakati mwingine mwezi mzima .
Tuliendelea kwa miezi kadha na huyu kijana huku na  mimi nikiwa na bosi wangu kule kazini , basi bwana siku moja , sisi  officini tulitakiwa kwenda kutoa damu hospitali ya muhimbili katika  maadhimisho ya siku ya afya duniani . Watu walipimwa afya zao na mimi  nilipimwa , majibu yangu yalikuwa ya kutatanisha sikuamini macho yangu  wala masikio yangu , nilienda hospitali ingine napo majibu yalikuwa yale  yale kwamba nimeathirika na UKIMWI .
Haya majibu yalimfikia mpaka bosi wangu nae  akatambua hilo akasikitika sana na yeye alivyoenda kupimwa akakutwa  hajaathirika , basi nikajua moja kwa moja ukimwi nimepata kutoka kwa  yule kijana wa mitaani na sio mtu mwingine .
Nikamwomba huyu kijana tukaangalie afya zetu kwa  mara ingine tena hospitali , tukaenda kule kupima afya zetu , yeye ndio  alikuwa wa kwanza kupokea majibu yake , alikutwa ameadhirika akupata  mshituko wa ghafla yaani haamini .
Mshituko huo ulimpelekea aanguke chini na kuzimia  watu walienda kumbeba na kumpeleka hospitali kupatiwa huduma ya kwanza  basi hapo ndio magonjwa mengine yalianza kujitokeza na kujulikana sana .
Kumbe huyu kijana alikuwa na urafiki wa kimapenzi na  shugamami mmoja mtaa wa pili huyu shuga mami mume wake alifariki dunia  miaka 5 iliyopita kwa UKIMWI watu wanaema TB sijui , ndio huyu kijana  kuona zile pesa za shuga mamy akaenda kwake .
Kijana aliumwa kwa miezi 3 hivi kisha akafariki  dunia akaniacha duniani mwenyewe , kule kazini nilifukuzwa kaza na bosi  wangu kisa nilitaka kumwambukiza ugonjwa wa ukimwi , lakini siku moja  alinipigia simu kunieleza kwamba mke wake ameadhirika na UKIMWI pia  lakini yeye anasema hajaadhirika .
Hapo ndio nilishangaa sana , kwanini mke wa  aadhirike yeye asiadhirike au mke wake nae alikuwa anatoka nje ya ndoa  bila mume wake kujua ? basi hiyo ni siri yao nyumbani kwao mimi  hayanihusu .
Lakini ndio hivyo nilikuwa nimeshaadhirika na UKIMWI  kazi nimeshafukuzwa sina cha kufanya wala kutafakari nilifikiria zaidi  kuhusu ugonjwa wangu wa UKIMWI na jinsi nitakavyoweza kuishi maisha  marefu kwa matumaini .
KAHABA
Baada ya kuona maisha magumu na sina lolote la  kufanya mimi kama mwanamke mrembo na mwenye mvuto niliamua kutafuta njia  rahisi zaidi ya kujipatia kipitano nilifikiria njia nyingi sana ambazo  zingeweza kunipatia angalau mlo na mavazi katika siku zangu za maisha  zilizobakia baada ya kugundulika nina virusi vya ukimwi
Nikaanza kutafuta sehemu ambazo naweza kuuza mwili  wangu kwa pesa za chapchap niweze kuendeleza maisha yangu ya kila siku ,  nilikuwa na ramani yangu kwanza pale OHIO , JOLLY , MACHENI , BILLS NA  LATAVERNA hizo ni sehemu 5 kuu za starehe jijini dare s salaam kwahiyo  huko naweza kufanya kazi za kujiuza kwa wiki nzima kila siku bila  kuchoka .
Ohio ilikuwa nzuri ila tatizo lake ni kwamba kila  anayepita pale anakujua halafu unatakiwa uonyeshe maungo yako hazarani  mimi sikuzoea tabia hizo na sikuwa na mhemko huo kwahiyo nilivaa miwani  yangu na kuacha mapaja nje tu waangalie wenyewe kama wanapenda watakuja .  Kule macheni tatizo lake ni mashoga wengi sana , yaani mwanaume anaweza  akaja kutafuta Malaya akakuchanganya wewe ni shoga , wale mashoga  wanaojiuza hawana tofauti na sisi wanawake tunaojiuza wakati Fulani  ulitokea ugomvi mkubwa watu waliamulia tulimgombea mwanaume .
Billa nako kuzuri ila vijana wengi sana halafu  hawana pesa , na vitoto vidogo vingi , nilikuwa naogopa matatizo na  vijana wa kule sikupenda kufanya mchezo na watoto wadogo waliokuwa  wananitaka hata kwa dau gani nilingoja wanaume wenye pesa zao tu sio  zaidi .
Basi nilianza safari za kuelekea jolly club kwa  ajili ya kujiuza mwili wangu nipate angalau chochote cha kula na kufanya  katika maisha yangu , pale jolly club nilikutana na dada mmoja anaitwa  Aisha , huyu dada nae ni kahaba mzoefu akaanza kunionyesha mambo kadhaa  wa kadha kuhusu biashara ya ukahaba na kadhalika . Hapa ndio nilijufunza  kwamba sio makahaba wote ni masikini au hawajiwezi kuna wengine  wanajiweza na wanazo fedha ila wanapenda kufanya ukahaba yaani wamechoka  na dunia wengine walikuwa na wanaume wao wakaachika wakaamua kuja huku  kwenda na mwanaume wowote yule anayekuja .
Wengine wana matatizo katika ndoa zao kupigwa na  kadhalika wanaamua kuja huku kujiuza au kukaa huku ili kuepuka matatizo  katika ndoa zao au mahusiano yao , wengine ndio kama hivyo waume zao  hawana nguvu za kutosha kufanya nao tendo la ndoa wanaamua kuwa makahaba  kila mtu na lake na mambo yake pia .
Wengine wanafanya huu ukabaha kwa ajili ya  kupeleleza yaani ni wapelelezi wa polisi au watu Fulani katika serikali  wako katika mitaa hii kuzuga tu , ili wafanikishe kazi zao za uchunguzi  kama polisi wa usalama sehemu walizoko .
Mwisho wa yote siku hizi kuna vita kubwa katika  biashara hii ya ukabaha mjini dare s salaam , mfano kule jolly kuna  wazungu na wahindi wanakuja kufanya biashara ya ukahaba kwahiyo wewe  mwamfrika unakazi ngumu kuwapita wale wazungu na wahindi au wachina .
Siku hizi wanaume wengi wanapenda kitu kinaitwa  JICHO yaani kufanya mapenzi kinyume na maumbile , hii nayo ni soko kuu ,  mfano mwingine anaweza kuja kwako anataka jicho na wewe hutoi jicho  maana yake unakosa soko suluhicho ni kujitoa mhanga na kufanya mapenzi  kwa kuwa mteja ni mfalme .
Mbaya zaidi kuna wanaume wengine wanakuja wanaweza  kukuchukua uende nao kufanya ngono kumbe wanakupiga filamu za ngono  wakati unafanya kitendo hicho haswa wazungu wengine wanakupa ufanye  mapenzi na mbwa wao au wanyama wao wengine mambo yanaenda hivyo .
Biashata hii ya ukahaba ilinichanganyia sana kwa  miaka 2 niliyoifanya na kwa kweli hakuna aliyenijua kama nimeadhirika na  ugonjwa wa ukimwi nilikuwa najitunza na kutuza siri zangu hizi kuu na  sikupenda kuzoeana na watu sana hadi waniulize hivyo
Siwezi kuhesabu ni watu wangapi nimefanya nao ngono  lakini ni zaidi ya 300 siku zingine nafanya kazi na watu zaidi ya 3 kwa  siku moja kwahiyo mambo yanaendelea halafu wengi hawakupenda kutumia  mipira ya kiume yaani kondo walipenda kuja hivi hivi tu bila kinga  chochote kile
Na mimi nilikuwa nimeshaadhirika nilichokuwa  natafuta ni fedha za kuendeleza maisha yangu kwahiyo hata kama nikifanya  ngono zembe bila kinga mimi hainiumi sana kwa kuwwa nilishajua hali  yangu sikuweza kuitengua siku wa chochote cha kufanya zaidi ya hichi .
Hii ilikuwa ni kulipiza kisasi kwa maasi ambayo yule  kijana alinifanyia kuniambukiza UKIMWI kwa makusudi huku akijua kabisa  ameadhirika siku nyingi ,kwakuwa yeye ameamua kuniuwa mimi basi na mimi  nauwa wengi zaidi na sijali kuhusu dhambi hizi nilizozifanya na sijutii  kabisa .
MAISHA YA MTAANI
Huku mitaani waliniita majina kama JLo wakati  mwingine salma hayek yaani wale waigizaji maarufu duniani kwa urembo  nilio nao na mvuto wake , hakuna hata mmoja aliyekuwa na mawazo kama  nimeadhirika au la kwa maana yule kijana niliyekuwa nae kama mpenzi  alikufa kifo cha ghafla watu walisema amekufa kwa pressure .
Mitaani napo nilikamua kinoma , waume za watu  walikuja mpaka mlangoni kwangu na magari yao , wananipakia na kunipeleka  katika kumbi za starehe na sehemu nyingine nyingi sana wengine  walinihonga mali na mambo kibao kisa wamenipenda wanataka ngono
Na kwa uhakika hawa wanaume niliwapanga sawia kabisa  na hakuna aliyeweza kutambua mimi nina wanaume wangapi na wanaishi wapi  wengi walijua ni washirika wangu katika kazi zangu na mambo yangu  mengine kwanza sikupenda kuongea na mwanaume wowote chumbani kwangu wote  nilikuwa nawaambia tukutane mbali kidogo na nyumbani haswa kati katika  ya jiji .
Katika hawa wateja wangu kulikuwa na kijana mmoja  anayeitwa juma huyu juma alikuwa na rafiki yake mmoja anayeitwa Shy ,  kijana mwembamba mwenye umbo la wastani , hana ndevu halafu ni mcheshi  sana , alifanikiwa kuiteka moyo wangu , sasa nilitaka kumwambia mara  kibao kwamba nimemzimia
Tatizo ni kwamba anayekuja kunichukuwa pale ni juma ,  juma huja pale kwa kusindikizwa na Shy , basi juma akanitambulisha  katika website moja inayoitwa darhotwire www.darhotwire.com , nyumbani  nikienda kupumzika nilipenda kushinda katika tovuti hii kuchat na  marafiki na watu wengine .
Huyu shy nae nilimkuta katika site hii usiku wa  manane anachat na jamaa zake , ila siku moja nilikutana na kijana  mwingine anayeitwa politeman , huyu ndio alinichanganya kabisa , kwanza  jina lake na jinsi aliyokuwa anaongea kweli nilizimia mwenyewe bado  nikawa na siri kubwa moyoni je hivi tukifanya ngono inakuwaje ?
Maisha yaliendelea tu , basi nikimpenda politeman ,  huyu kijana akawa anakuja mpaka nyumbani kwangu wakati mwingine na huwa  nampa computer yangu aitumie tukaenda zaidi nilimshitukia kumbe huyu  polite ana urafiki wa kimapenzi na dada mwingine anayeitwa salma siku  moja walipanga kwenda kufanya mapenzi lakini polite akakataa ?
Sikuamini macho yangu wala masikio siku nyingi kama  naota kumbe polite alikuwa na urafiki na dada mmoja anaitwa Maria Chipz  ?? Sikuamini , nilimuheshimu sana maria na sikutegemea kama anaweza  kufanya hivyo hata siku moja , muda ukaenda kumbe kuna dada mwingine  anaitwa REHEMA naye alikuwa anampenda Politeman Miss upanga Naye  anampenda Politeman we acha tu
Nikamwaga chini sikupenda tabia zake za kitoto  kitoto anazowafanyia hao kina dada wengine ingawa nilifanya nae mapenzi  kama mara 4 hivi na mara zote hatukutumia kinga na nilikuwa nimeadhirika  ila ni siri yangu , polite hajui na wengine wote hawajui lakini ndio  maisha hayo
Haya ndio hivyo , nami sasa hivi nakaribia kufariki  dunia niko zangu kitandani hapa hospitali ya Amana mkoani dar es salaam ,  kweli maisha ni safari ishi upendavyo na sio watakavyo , mwisho wa yote  dunia sio hadaa wala dunia haikuchukii au haitaki kukufanyia chochote  kibaya
Bali watu ndio hadaa , hata kama ni ndugu yako  rafiki yako , hakikisha humpi nafasi akutawale aweze kukumiliki wewe na  kukuamrisha chochote kile anachotaka yeye , kama ukifanya hivyo ndio  utaishia kubaya kama mimi
Bosi wangu alinimiliki sana nikampa penzi , kijana wa mitaani nae alinimiliki mpaka sasa nimeaona faida zake na hasara zake
Wacha ningoje siku zangu nife nizikwe niende ahera K
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !