| Marehemu Jai Somani (kushoto, mwenye shati la kijani) alipokua akiingia mahakamani na watuhumiwa wenzake, enzi za uhai wake | 
MSHITAKIWA katika kesi ya wizi wa zaidi ya Shilingi bilioni 5 za Benki  Kuu ya Tanzania kutoka katika Akaunti 
ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu ya  Tanzania (EPA), Jai Chotalal Somani amejiua kwa kujipiga risasi.
 Mshitakiwa huyo anadaiwa kujiua jana
 asubuhi nyumbani kwake, mtaa wa  Mindu, Upanga katika Manispaa ya Ilala. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa  Parang Somani ambayeni kaka yake hajui kwa nini mdogo wake amejiua   SOMA ZAIDI
source - habarileo
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !