January Makamba akipata maelezo mafupi kutoka kwa Rais wa  Shirikisho  la 
Filamu Tanzania (TAFF),Simon Mwakifwamba (wa pili kushoto) kuhusiana  na 
mikakati na mipango mbalimbali ya mazishi ya Marehemu Sadick Juma  Kilowoko a.k.a Sajuki,nyumbani kwao Tabata Bima,jijini Dar.Aidha kwa  taarifa rasmi 
kutoka kwa Simon Mwakifwamba ameeleza kuwa mazishi ya  marehemu yatafanyika kwenye makaburi ya Kisutu siku ya Ijumaa mapema saa  tano asubuhi.Kuli kwa Naibu Waziri ni Mkurugenzi wa utafiti wa Clouds  Media Group,Ruge Mutahaba.
Rais wa  Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF),Simon Mwakifwamba akitoa maelezo mafupi kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano.Sayansi  na Teknolojia,Mh January Makamba kuhusiana na taratibu mbalimbali  kuhusiana na msiba huo,huku baadhi ya wasanii wengine mahiri wa filamu  wakisikiliza kwa makini.
 Mazungumzo  mengine ya hapa na pale yakiendelea kufanyika kuhusiana taratibu nzima  za msiba wa Sajuki,ulioko Tabata Bima,jijini Dar.
Rais wa  Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF),Simon Mwakifwamba akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano.Sayansi na Teknolojia,Mh January Makamba,kushoto ni Mkurugenzi wa utafiti wa Clouds Media Group,Ruge Mutahaba.
 Baadhi ya Wasanii wa wakijadiliana jambo.
 Dua ikiendelea kusomwa nyumbani kwa marehemu Sajuki.
 Baadhi  ya Watu mbalimbali wakiwemo wasanii wakongwe wa filamu wakiendelea  kuwasili nyumbani kwa marehemu Sajuki mapema leo jioni. 

Watu mbalimbali wakiwe wenye simanzi kubwa wakijadiliana jambo   



  Watu mbalimbali wakiwa wamekusanyika kwenye msiba wa marehemu Sajuki jioni ya leo maeneo ya Tabat Bima,jijini dar.
 Mdau  mkubwa wa Filamu hapa nchini Saimon Simalenga akijaribu kutoa maelekezo  mafupi kwa baadhi ya waombolezaji waliofika kwenye msiba wa marehemu  Sajuki mapema leo jioni.
 Badhi ya Wadau na Wanahabari wakiwa wamekusanyika kwenye msiba huo.
Ruge Mutahaba akisalimiana na Mkurugenzi wa ASET,Asha Baraka,pichani kati ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano.Sayansi na Teknolojia,Mh January Makamba pamoja na Simon Mwakifwamba.
 Wakifarijiana.
 Vikao vikiendelea
 Ruge  Mutahaba akiwa ameongozana Mh January Makamba wakisalimiana na baadhi  ya watu waliokuwa kwenye msiba,walipokuwa wakiwasili

Baadhi ya Wasanii wakibadilishana jambo
 
 

















 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !