Mapenzi  yao yalianza tangu binti akiwa kidaato cha tatu lakini halikuwa penzi  lenye mashamu shamu kwa kuwa wabababa alikuwa bado hajamiliki pesa na  heshima katika jamii inayomzunguka kama sasa mara tuu baada ya kuchukua  kifuta jasho cha bss na vijihela alivyopewa na mapapaa waliokubali kazi 
aliioifanya bss hivyo kuwa na kiburi kilichomfanya amtie mimba mwananfunz ambae aligundulika kuwa ametoa mimba mara taarifa za mahusiano ya wababa na mwanafunzi huyo kufikishwa kwa mama mzazi wa binti huyo.

Wababa  aliwekwa ndani kwa muda wa siku mbili na kesi bado ipo mahakamani na  wazazi wa binti wameapa kumweka ndani wababa na kumfanya kama Babu Sea  huku binti akiwa hajaonekana siku ya 4 sasa na kutokujulikana alipo kwa  madai anampenda wababa na wakimfunga tu nae anakunywa sumu.
SOURCE MPEKUZI! 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !