Home
                          
                          »
                          
                          » 
                          WEMA SEPETU APIGA BONGE LA HATUA KWA  AANZISHA KAMPUNI YAKE YA FILAMU IITWAYO "ENDLESS FAME FILM" 
 
WEMA SEPETU APIGA BONGE LA HATUA KWA  AANZISHA KAMPUNI YAKE YA FILAMU IITWAYO "ENDLESS FAME FILM" 
 
Kupitia mtandao wa kijamii wa picha wa Instagram, Wema Sepetu  ameshare picha za kwanza zinazoonesha logo ya kampuni yake iitwayo  Endless Fame Films. “Nawaomba mzidi niombea nifike nnapotaka endless  fame ifike… Inshallah,” ameandika mrembo huyo. 
Tunakutakia kilala heri Wema Sepetu....  
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !