Home
                          
                          »
                          
                          » 
                          MAAJABU YA DUNIA; MWALIMU AKUTWA AKIFANYA MAPENZI NA MTOTO WA MIAKA 16
 
MAAJABU YA DUNIA; MWALIMU AKUTWA AKIFANYA MAPENZI NA MTOTO WA MIAKA 16
|  | 
| Amie  Neely (38) alikamatwa akiwa anafanya mapenzi na mwanafunzi wake huyo  mwenye umri wa miaka 16. Inasemekana kuwa mwalimu huyo alikuwa akimtumia  sms mara kibao na kumtege zaidi ya mara nne mpaka kijana huyo akaingia  katika mtego wake na kuanza mahusiano yao.Inaelezwa kuwa walikuwa  wakikutana mara kibao na kufanya mapenzi nyumbani kwa mwalimu huyo pindi  mumewe anapokuwa safarini. Kukamatwa kwake kumesababishwa na Fumanizi la Mume wake ambaye alikuwa  anafatilia nyendo zake, kupitia GPS ya simu yake aliweza kubaini alipo  Mkewe na ndipo alipofika eneo la tukio akamkuta kabananishwa na kijana  huyo.
 Kwa sasa mwalimu huyo yupo nje kwa dhamana ya Shilingi Million 25 za kitanzania au $ 15,000/= Na kesi yake ipo mahakamani.
 | 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !