
Wema Sepetu akiwa na pete aliyovishwa na Dimaond.
KATIKA  ulimwengu huu kuna mambo mengi yanayofurahisha. Yapo pia  yanayosikitisha na utapeli katika uhusiano wa kimapenzi umetamalaki.
Nimeanza  na utangulizi huo nikiwa na maana kuwa katika jamii inayotuzunguka  inabidi mtu uwe makini lasivyo utajikuta kwenye wakati mgumu hasa kwa  wasichana wanaohitaji kuolewa.Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wanaume kuwarubuni wanawake wakiwadanganya kuwa watawaoa, ahadi ambazo hazitimii…
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !