 Ama kweli UALIMU kazi ya wito
Ama kweli UALIMU kazi ya wito
 MWANAFUNZI mmoja hajui
 kujumlisha+ wala kutoa-
 Mwalim katumia njia zote
 kumuelimisha lakin wapi Ikabidi
 ajaribu njia hii
 Mwl: Kwenu mnafuga nin
 Mwnfz: Kuku na mbuzi.
 Mwl: Mbuzi mnao wangapi?
 Mwnfz: 25
 Mwl: Mbuzi 25 toa mbuz 5
 watabaki
 wangapi?
 Mwnfz: Unawajua mbuz we2, au
 unawackia?
 Ukimtoa mmoja tu wote
 wanatoka.
MWANAFUNZI mmoja hajui
kujumlisha+ wala kutoa-
Mwalim katumia njia zote
kumuelimisha lakin wapi Ikabidi
ajaribu njia hii
Mwl: Kwenu mnafuga nin
Mwnfz: Kuku na mbuzi.
Mwl: Mbuzi mnao wangapi?
Mwnfz: 25
Mwl: Mbuzi 25 toa mbuz 5
watabaki
wangapi?
Mwnfz: Unawajua mbuz we2, au
unawackia?
Ukimtoa mmoja tu wote
wanatoka.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !