Home
                          
                          »
                          
AJALI
                          » 
                          ANGALIA PICHA 26 ZA AJALI LA BASISIMBA MTOTO  KWA KUIGONGA PIKIPIKI 
 
ANGALIA PICHA 26 ZA AJALI LA BASISIMBA MTOTO  KWA KUIGONGA PIKIPIKI 
 | Tairi la pikipiki iliyonusurika kurudi lilipo tengenezwa  | 
 
| Gari likikaguliwa kabla ya kuanza safiri | 
| Piki piki Ikichukuliwa na Idara ya kupelekwa Garage.  | 
| Kulia ni dereva wa basi hilo na konda wake | 
 
| Trafiki wakisaidiana kupandisha pikipiki ya Idara ya maji. kwenye Gari | 
 
| Hizi ndio namba za Basi liligonga piki piki | 
| 
Basi hilo lenye namba za usajili .T57.5 BLN Leo majira ya saa  7:45AM liligonga pikipiki ya idara ya maji maeneo ya Mkwakwani Jijini TANGA  wakati likielekea Dar es salaam hatimae safari kugailishwa na kuelekea  kituo cha polisi mabawa baada ya hapo ndipo safari ya dar ikaanza.  kwakweli abiri walikerekwa na swala hilo japo ni bahati mbaya halikua  kusudio la dereva.    | 
| Wananchi nao hawakukosekana kwenye swala hili | 
Picha na mwandishi wa masainyotambofu.blogspot.com   
NA BONGOCLANTZ.COM 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !