Home
                          
                          »
                          
                          » 
                          OMMY DIMPOZ APIGWA CHUPA NA MASHABIKI AKIWA JUKWAANI HUKO DODOMA 
 
OMMY DIMPOZ APIGWA CHUPA NA MASHABIKI AKIWA JUKWAANI HUKO DODOMA 
Kuna
 tetesi kuwa Ommy  dimpoz amepigwa mawe jukwaaani dodoma na 
kushindwa kufanya  show ya kilimanjaro music award dodoma. 
Wadau
 toka  Dodoma 
wasema  msanii  yoyote atakaye mdiss msanii wa dodoma hawatamruhusu 
kufanya show Dodoma  na  watamshusha jukwaani kama walivyo fanya leo  
kwa  Ommy
Tunafuatilia  undani  wa  habari  hii
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !