

Msanii wa Bongo Fleva na Bongo Movie almaarufu kama PHD au Hemed,kama  unakumbuka kipindi cha nyuma kulikuwa na tetesi za hapa na pale kwamba  siku hizi ana tabia ya kuingia katika maduka ya nguo hasa ya Kinondoni na  kuchukua nguo bila kulipa,sasa leo amekanusha na kusema habari hizo si  za kweli ni story tu,kwani yeye anapoenda katika duka mara nyingi  anahakikisha lazima atoe kiasi cha pesa ndipo aweze kuondoka na nguo  hizo.Baada ya kusema hivyo alimalizia kwa kusema kwamba angependa kuona  mtu anaandika habari nzuri kuliko kuandika habari ambayo sio sahihi@info kamili by Hemed
 
 



 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !