Yusuf Mlela Na Hemed 'PHD' Ndani Ya Hit Back...! - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » Yusuf Mlela Na Hemed 'PHD' Ndani Ya Hit Back...!

Yusuf Mlela Na Hemed 'PHD' Ndani Ya Hit Back...!


 
 
"HIT BACK" Ni hadithi ya wanandugu watatu (three brothers) STANLEY MSUNGU, YUSUPH MLELA na HEMED SULEIMAN, ambao hawakujuana kabla kutokana na mazingira ya makuzi yao, japo wawili kati yao (STANLEY MSUNGU na HEMED SULEIMAN) wanajua lakini wanamficha mwenzao kwa sababu walikuwa na nia ya kumtesa kimaisha, kitendo kilichochochewa na aina ya malezi ya kaka yao mkubwa,..
Wanamfanyia ukatili wa hali ya juu sana, ikiwemo kumharibia ajira, biashara, familia na baadaye wakambambikizia kesi ya mauaji,..
Akaanza kutumikia kifungo cha maisha japo kwake haikuwa kikwazo kutimiza nia yake ya kulipa kisasi. Njia ipi itatumika kulipa kisasi ili hali yeye mwenyewe akiwa gerezani? JIBU limo ndani ya HIT BACK - Narrow Escape! Wahusika ni: YUSUPH MLELA, HEMED SULEIMAN, CHUCHU HANS, STANLEY MSUNGU, GRACE MAPUNDA, nk.
Msemaji wa kampuni ni Ali M Yakuti
Filamu inatarajiwa kutoka tar. 3/12/2012
Na itapatikana madukani nchi nzima
Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template