Home
                          
                          »
                          
                          » 
                          BREAKING NEWSS; SHARO MILLIONEA OOH MAMA! AMEFARIKA DUNIA
 
BREAKING NEWSS; SHARO MILLIONEA OOH MAMA! AMEFARIKA DUNIA
 
 
HABARI   za kusikitisha na kuaminika zilizo tufikia hivi punde na  kuthibithishwa na Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Constatine Masawe  ni  kwamba msanii mahiri wa uchekeshaji na mwanamuziki wa Bongo Fleva Sharo  Millionea amefariki katika ajali ya gari kijiji cha Maguzoni Songa,  Muheza mkoani Tanga ambapo pia ni nyumbani kwao. Tutaendelea kuwajulisha  kadiri tutakavyopata habari zaidi. 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !