Flaviana  Matata mlimbwende wa mitindo anayetangaza jina la Tanzania nchini  Marekani akiwa na maskani yake kwenye jiji lisilolala, New York akipata  picha alipokuwa akifuatilia mitindo nite 3 iliyofanyikia Capitol  Heights, Maryland.
Flaviana  Matata katika picha ya pamoja na mtayarishaji wa mitindo nite 3 Ma  Winny Casey (kati) pamoja na mlimbwende Mtanzania Maggie Munthali  atakaeiwakilisha Tanzania Usa kumtafuta Miss Afrika USA itakayofanyika  Jumamosi hii kwenye ukumbi huo wa Hampton uliopo 207 W Hampton Place,  Capitol Heights, MD.
Mratibu wa Miss Afrika USA akielezea jambo huku akisifia vazi la khanga.
Juu  na chini nni mwana muziki wa Bonga Flava a.k.a malikia wa Zouk, Hafsa  Kazinja akilishambulia jukwaa alipofanya show akishirikiana na Bendi ya  Super Bakulutu yenye wanamuziki wa DRC waliotamba enzi hizo na  wanaoendela kutamba Marekani kwa sasa akina Lokassa ya Mbongo, Gouma  Lokito na kundi lake.
Lokassa ya Mbongo (kushoto) katika picha ya pamoja na mwanamuziki mwenzake ambae alishawahi kupiga na kundi la Koffi.
Wadau waliohudhuria onyesho hili la mitindo nite 3 wakipata picha ya pamoja.
Starlisha (wapili toka kulia) katika picha ya pamoja na wadau wa DMV, kutoka shoto ni Nick, Santa na kulia ni John Sitta.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !