
mtazame  mrembo huyu Britney spears,,,for sure this pic inamvuto sana and i  think hakuna mtu asiyependa kuwa na mvuto muhimu ni kujipenda na sio  kujibweteka ili kuongeza chachu katika mapenzi ........


wanawake  walio wengi wanapenda kupendeza na kuvutia,,wengine wanafanya hivyo  kutokana na kupenda mwenyewe,lakini wengine wanafanya hivyo kwasababu  fulani,,kuna mwingine atapenda kupendeza ili mume au mpenzi wake  afurahi,ila muhimu ukawa unapenda kwanza wewe mwenyewe vinginevyo siku  nyingine unaweza ukachemka kutokana na kwamba ni kitu ambacho haukipendi  kutoka moyoni,,,na kingine mwanamke muhimu kujipenda jamani,, katika  kila hali pia inaleta raha sana katika mahusiano na mpenzi wako,,kuna  wale wanaoingia katika ndoa na kujisahau mwanzoni kabla hajaolewa  alikuwa anajiremba na kupendeza akishaolewa basi anajisahau,na kujiachia  tuwe makini jamani mwanaume anaweza pia kutoka nje kutokana na kuona  ndani mwanamke hana mvuto tena na huko nje wanawake wanapendeza  wanajipenda basi ndio anaenda hukohuko,,,,tupo pamoja  jamani...................
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !