Home
                          
                          »
                          
                          » 
                          MAJANGA HAYA; ANGALIA PICHA NAMNA : KIJANA WA ROMBO AFYEKA NYETI ZAKE, KISA NI MADEMU
 
MAJANGA HAYA; ANGALIA PICHA NAMNA : KIJANA WA ROMBO AFYEKA NYETI ZAKE, KISA NI MADEMU
|  | 
| Kijana  Priva Elian wa Rombo mkoani Kilimanjaro, amefyeka sehemu zake za siri na  kuziondoa, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kugombaniwa na wanawake  wawili. 
 Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo, walidai kijana huyo alifikia uamuzi huo baada ya wanawake wawili kumgombea.
 
 Walidai  kuwa alifikia uamuzi , mwaka huu saa 1:30 asubuhi baada  ya kupandwa na ghadhabu kutokana na usumbufu mwingi aliokuwa akiupata  kutoka kwa wanawake hao.
 
 Walieleza  kuwa mara baada ya kuchukua uamuzi huo, alimwita mdogo wake ambaye  hakutambulika jina na kumweleza kuwa achukue viungo hivyo na kuwapelekea  wanawake hao ili wavigombee.
 
 “Hatujui  alitumia kifaa gani kujifyeka kwani kinaonesha ni kikali sana, kwani  baada ya kukata sehemu hizo nyeti, alimpa mdogo wake ili awapelekee  wanawake hao kwani ndicho kitu muhimu kwao na siyo yeye,” alisema mmoja  wa mashuhuda wa tukio hilo la kusikitisha.
 | 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !