

Mie Sisemi Kitu nimezikuta Picha hizi Mtandaoni Baada ya Ney wa Mitego  jana kusema kuwa hana uhusiano Na Nisha ,Sasa Sijui Zimevujaje ? Ney wa  Mitego ni mwanamuzi Ambae Siku za Karibuni Amepata umearufu kwa Kuwapa  Vidogo Wasichana wa Bongo Movies Kuwa ni Malaya Wenye Viwango ...Sasa  kumbe mwenyewe nae Anaponea Humu humu..Or Is It a Movie?.Wasemaje Kuhusu  Hili? tupia comments Zako hapo chini.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !