|  | 
| TAPERI AKISUBIRI KUDRA ZA MWENYEZI MUNGU ILI ASICHOMWE MOTO BAADA YA KUMTAPERI FUNDI MAGARI KIASI CHA SH 250,000 HAPO ALIPO KAPATA KICHAPO CHA KUTOSHA | 
|  | 
| KICHAPO KIMEANZA TENA MAANA ALITOKEZA JAMAA MWINGINE ALISHAWAHI TAPELIWA NA TAPELI HUYU MZOEFU | 
|  | 
| WANANCHI WENYE HASIRA KALI WANAMTANDIKA KISAWASAWA YAANI HATARI TUPU | 
|  | 
| FUNDI MAGARI ALIYETAPELIWA KIASI CHA SH 250,000 AKIWAOMBA WANANCHI WENYE HASIRA KALI WASIMCHOME MOTO TAPELI WAKE KWANI WAKIMCHOMA YEYE ATAKOSA PESA ZAKE KWANZA APATE PESA ZAKE NDIPO ACHOMWE KAZI IPO | 
|  | 
| TAPELI ANAOMBA MSAMAHA KUWA HATARUDIA TENA KAZI HIYO YA UTAPELI AMEKOMA | 
|  | 
| HAKI YAMUNGU TENEA NITARUDISHA PESA ZOTE KWANI NIMEMPA MWENZANGU NAOMBENI MSINIUE JAMANI NIMEKOSA SIRUDII TENA | 
|  | 
| ACHOMWEEE ACHOMWEEE WALISIKIKA VIJANA HAO WAKITAKA TAPELI HUYO ACHOMWE MOTO KWANI AMEZOEA TABIA HIZO ZA KITAPELI ENEO HILO | 
|  | 
| ALIYETAPELIWA AAMUA KUMKIMBIZA TAPELI WAKE ASICHOMWE MOTO KWANI AKICHOMWA MOTO ATAKOSA PESA ZAKE | 
|  | 
| JAMAA NAO WAPI WAPO NYUMBA TU WANAMFUKUZIA KUTAKA KUENDELEA KUMTANDIKA TAPELI HUYO | 
|  | 
| TAPELI AMEOKOLEWA KUCHOMWA MOTO SASA WANANCHI WANASUBIRIA POLISI ILI WAJE WAMCHUKUE HUYO TAPELI | 
 
 



 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !