Muimbaji Avril from Kenya amekana uvumi kuwa anakula urojo na A-list  musician from Tanzania Diamond Plutnumz. muimbaji huyu ametokea kwenye  video mpya ya Diamond "kesho", Avril amesema kuwa uvumi huo unasambaa  ingawa hauna ukweli wowote kwani wao wameshirikiana kikazi tu, ingawa  wengi bado wanatilia shaka habari hizi kuwa kama kweli they are not an  item. let us wait and see.......kwani mapenzi ni kikohozi kikali huwezi  kukizuia.
 
                            Home
                          
                          »
                          
                          » 
                          AVRILL VS DIAMOND PLATNUM;AVRIL AMKANA DIAMOND PLUTNUMZ 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !