 Jana   ikiwa ni birthday ya mtoto mzuri na 'Hakuna Yule' hit maker wa Ogopa  Djs ya Kenya Judith Nyambura Mwangi a.k.a Avril, alitua jijini dar es  salaam leo  na sababu ya ujio wake ni vitu vikubwa viwili.
Jana   ikiwa ni birthday ya mtoto mzuri na 'Hakuna Yule' hit maker wa Ogopa  Djs ya Kenya Judith Nyambura Mwangi a.k.a Avril, alitua jijini dar es  salaam leo  na sababu ya ujio wake ni vitu vikubwa viwili.Akihojiwa katika kipindi cha  XXL kupitia Clouds fm Avril amesema ujio wake hapa bongo kwanza ni  ku-celebrate birthday yake na fans wa Tanzania, na pili ni ku-launch  single yake mpya aliomshirikisha Ommy Dimpoz ambaye kwa sasa yuko  ziarani barani Ulaya, party itakayofanyika usiku wa leo (April 30) pale  Elements club.
Kuhusiana na maneno ambayo  yamekuwa yakisemwa juu ya tetesi za kuwepo  kwa mahusiano baina yake na  Diamond Platnumz ambaye alimshirikisha Avril katika video ya Kesho,  Avril amekana kuwepo kwa uhusiano wowote zaidi ya kuwa marafiki wa  kawaida na wa kikazi. "Hakuna kitu chochote kati yangu na diamond we are  just friends na relationship yetu ni proffesional relationship  katika  muziki", alisema Avril.
Kama ulikuwa hujui hii ndio  birthday party ya kwanza kwa Avril kufanya, birthdays zake zote  zilizopita alikua anasheherekea kwa kuchill tu nyumbani na familia yake.
Jana Avril ametimiza miaka 26,alizaliwa April 30, 1986 huko Nakuru Kenya.
we wish you a happy birthday Avril na karibu sana Tanzania
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !