 Inaaminika kuwa  Ms Maria Seguar-Metzgar  Pichani mwenye umri wa miaka 105 yawezekana ndo mtumiaji wa Facebook  mwenye umri mkubwa kuliko wote Duniani.Ms Maria alisherehekea siku yake  ya kuzaliwa wiki iliyopita ya kutimiza miaka 105, huku akiwa na marafiki  86 kwenye Facebook.

0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !