Taarifa  rasmi zinasema Kocha wa timu ya Manchester United Sir Alex Fergason  Ameamua kustafu Mwisho wa Msimu,Tayari bodi ya timu hiyo imepokea  taarifa toka kwa kocha huyo tayari kwa majadiliano ya kumtafuta mrithi  wa kocha huyo aliyewapa mafanikio makubwa timu ya Manchester united kwa  kipindi cha muda mrefu aliyokaa katika timu hiyo
 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !